rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,952
- 43,265
Kila mtanzania alikuwa na kipaji cha kucheza Mpira wazazi tu ndo walikuwa kikwazo..!!
Nimekula sana fimbo aiseee kisa kuchelewa kurudi home[emoji24][emoji24][emoji24] mpaka nilinyosha mikono hili taifa mpira wetu kufika mbali ni kazi mnoo wachache walioweza kuwavimbia na kuvumilia vipigo vya wazazi leo ndo wamekuwa mastar[emoji23][emoji23][emoji23]