Daniel Mbega JF-Expert Member Joined Mar 20, 2013 Posts 338 Reaction score 180 Jun 8, 2016 #1 Watu waliogundua uwezo walionao, upekee na umaalumu na kuutumia kwa manufaa yao na ya jamii yao ndio waliofanikiwa zaidi kwenye ulimwengu wa leo. Vipaji walivyonavyo vimegeuka kuwa mashine ya kuzalishia fedha na kuwapa kuishi maisha wanayoyataka. Hebu soma hapa zaidi uweze kujifunza kutokana na kipaji chako ulichonacho => Kipaji chako kina thamani zaidi ya fedha | Fikra Pevu
Watu waliogundua uwezo walionao, upekee na umaalumu na kuutumia kwa manufaa yao na ya jamii yao ndio waliofanikiwa zaidi kwenye ulimwengu wa leo. Vipaji walivyonavyo vimegeuka kuwa mashine ya kuzalishia fedha na kuwapa kuishi maisha wanayoyataka. Hebu soma hapa zaidi uweze kujifunza kutokana na kipaji chako ulichonacho => Kipaji chako kina thamani zaidi ya fedha | Fikra Pevu
A Andrew123 JF-Expert Member Joined Jun 2, 2012 Posts 8,358 Reaction score 10,976 Jun 8, 2016 #2 Vipaji kwa Tanzania labda vya kuimba na kukata mauno!