Ataitwaje Wakati ndio ukweli aliouongea Mh Sipikaa!!!Ataitwa kwenye kamati ya chama ya kinga na sheria maana this time hatuna bunge
Subiri uoneAtaitwaje Wakati ndio ukweli aliouongea Mh Sipikaa!!!
Supika na covd19 wake[emoji1787]
Kweli mkuuUmenikumbusha lile bunge la Jamaica
Kwani aliwaapisha kwa kufuata taratibu zipi?Atawalinda kwa kutumia sheria ipi?