Kipanya anaendelea kutafakarisha

Kweli maisha tunakoendea ni mwendo wa kubadilishana bidhaa badala ya kulipa kwa hela (Butter Trade)
Njoo na viazi nikupe mahindi
 
Wananchi wapo kwenye hali ngumu ya maisha kiasi walivyonavyo havikidhi mahitaji yao.

Imefikia wakati pesa imekuwa adimu hadi wanatumia mfumo wa kale wa kubadilishana bidhaa kwa bidhaa na sio manunuzi ya kutumia pesa.
Balter trade.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…