Sakasaka Mao JF-Expert Member Joined Sep 29, 2016 Posts 16,028 Reaction score 23,380 Feb 20, 2025 #21 Beira Boy said: Masikin tunachangiana sisi kwa sisi Maana uchumekwama kabisa kwa huyu mama Click to expand... Mkuu kwa katuni hiyo, tafsiri zipo nyingi mno zaidi ya mia.
Beira Boy said: Masikin tunachangiana sisi kwa sisi Maana uchumekwama kabisa kwa huyu mama Click to expand... Mkuu kwa katuni hiyo, tafsiri zipo nyingi mno zaidi ya mia.
JAKUGOTE JF-Expert Member Joined Nov 19, 2013 Posts 875 Reaction score 1,235 Feb 20, 2025 #22 Rangi za chupa zinaongea
RoDrick RaY JF-Expert Member Joined Aug 23, 2015 Posts 1,806 Reaction score 2,723 Feb 20, 2025 #23 Mi sjaelewa labda mtusaidie kuelewa
May Day JF-Expert Member Joined May 18, 2018 Posts 6,367 Reaction score 9,119 Feb 20, 2025 #24 Hiyo biashara ya alkasus hailipi?,maana hiyo kanzu ipo hoi bin taabani.
Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 43,233 Reaction score 51,648 Feb 20, 2025 Thread starter #25 spidernyoka said: Umeona viraka hivo umeona wamwbadilishana bidhaa? Click to expand... Viraka vinafikirisha
spidernyoka said: Umeona viraka hivo umeona wamwbadilishana bidhaa? Click to expand... Viraka vinafikirisha
Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 43,233 Reaction score 51,648 Feb 20, 2025 Thread starter #26 May Day said: Hiyo biashara ya alkasus hailipi?,maana hiyo kanzu ipo hoi bin taabani. Click to expand... Mkuu utaambiwa umekashifu umani
May Day said: Hiyo biashara ya alkasus hailipi?,maana hiyo kanzu ipo hoi bin taabani. Click to expand... Mkuu utaambiwa umekashifu umani
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Sep 6, 2025 #27 Ngoja tuone... Cc: Mahondaw