Kipanya anatufafanulia sababu ya watu kuutaka ubunge kwa hali na mali

H

Hii inatoa taswira sahihi kabisa ya chaguzi zetu. CCM inawadharau sana wapiga kura. Inawachukulia kama rubber stamp tu kutimiza sharti la kisheria.
Huu ujinga nliukataa muda mrefu Sana Wachumia tumbo tuu hao
Kamwe siwez kuwa rubber stamp ya kumpa mtu kula
Pumbavu kabsaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…