Kipanya Cartoon: CCM wana King 3, CHADEMA 1

Sijui ni kibonzo cha lini, lakini kama sio cha leo (kabla ya Heche kutangaza kugombea umakamu mwenyekiti wa Chadema) basi ilikuwa inamaanisha hizo kings tatu za kijani ni Mbowe, Wenje na Abdul, dhidi ya Lissu.
umeua bendi!
 
Lisu Kamvuruga Mzee Mbowe. Eti sasa wafuasi wa Mbowe wanamuita Lisu kichaa!!!
Kweli mbowe alitengeneza wahuni badala ya viongozi.
 
Tatizo mchezo unachezwa kwenye njia zisizo sahihi. Draft limegeuzwa. Wangetakiwa wachezs kwenye njia nyeupe.
Ingechezwa njia Sahihi Chadema wangepata draw,ila Kwa hapo inaonekana hata Draw hamna lazima Chadema wafungwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…