Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Ana maanisha nini? Na hii brenda ya kijani nayo vipi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chadema imesagwa sagwa na CCM toka Hali ya uyabisi(solid) yaani tikiti mpaka Hali ya ukimiminika(liquid) yaani juisi.
Chadema imesagwa sagwa na CCM toka Hali ya uyabisi(solid) yaani tikiti mpaka Hali ya ukimiminika(liquid) yaani juisi.
Kwahiyo amemaanisha kuwa saizi chadema haitakua na nguvu dhidi ya serikali Kama mwanzo.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
ipo lakini imesagwa hivyo haina nguvu.Ingetoka juice ya kijani ndiyo ungesema Chadema kwishney lakini kwa wekundu huo Chadema ipo tena ipo sana inaweza tu kubadili mbinu za mapambano.
Titiki maji (CHADEMA), blender (CCM)
Hapo kumaanisha Chadema imesagwa (kuvunjwa vunjwa) kutoka ugumu iliyokuwa nayo mpaka kupata kimiminika yaani juisi (CHADEMA kuwa nyepesi)
Hakuna tunda gumu kwa blender
Inamaanisha sasa mambo ni muluwaaa
Naona cherehani ikimwaga damu za watu