Kipanya na Simba na Yanga

Kipanya na Simba na Yanga

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,494
Reaction score
96,074
Kama mlidhani Kipanya ni maridadi kwenye siasa pekee basi mnakosea.

Leo baada ya mechi ya Simba na Yanga ametoka na katuni hii hapo sasa sijui inamaanisha nini maana naona mapengo kinywani.

Screenshot_20200308-192627.jpeg


In God we Trust
 
Yeah! Kipanya; This is simba today became This is Yanger
 
Kwa hiyo Ulitaka Mshahana jr aishabikie kwasukwasu kisa nini?
Thatha unamdanganya apige lamri badala ya ramli?? Thi unaona thatha limeboromoka? Atapata wapi tena mashabiki JF? Tumemgundua kuwa ni mkataba feki huyo
 
Back
Top Bottom