Kama mlidhani Kipanya ni maridadi kwenye siasa pekee basi mnakosea.
Leo baada ya mechi ya Simba na Yanga ametoka na katuni hii hapo sasa sijui inamaanisha nini maana naona mapengo kinywani.
View attachment 1381160
In God we Trust
Ule utabiri wako umekomea wapi jamaa yangu ?!. Haya mambo wakati mwingine yanaharibu CV za watu !!Alikuwa keshaandaa za kila upande
Jr[emoji769]
Sikujua kumbe mshana jr ni Thimba mpaka ule ule utabiri feki ka mikataba yao fekiUle utabiri wako umekomea wapi jamaa yangu ?!. Haya mambo wakati mwingine yanaharibu CV za watu !!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ule utabiri wako umekomea wapi jamaa yangu ?!. Haya mambo wakati mwingine yanaharibu CV za watu !!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo Ulitaka Mshahana jr aishabikie kwasukwasu kisa nini?Sikujua kumbe mshana jr ni Thimba mpaka ule ule utabiri feki ka mikataba yao feki
Hahahhahaaaaaaa! utabiri wa kutaka kushawishi watu wakubaliane na utashi wako kwa timu uipendayo ni aibu.Ule utabiri wako umekomea wapi jamaa yangu ?!. Haya mambo wakati mwingine yanaharibu CV za watu !!
Sent using Jamii Forums mobile app
Thatha unamdanganya apige lamri badala ya ramli?? Thi unaona thatha limeboromoka? Atapata wapi tena mashabiki JF? Tumemgundua kuwa ni mkataba feki huyoKwa hiyo Ulitaka Mshahana jr aishabikie kwasukwasu kisa nini?
Huyo jamaa hata mm nimemdharau tangu siku ile matokeo yawe tofauti na utabiri wakeUle utabiri wako umekomea wapi jamaa yangu ?!. Haya mambo wakati mwingine yanaharibu CV za watu !!
Sent using Jamii Forums mobile app