Kipanya Tena

Kipanya Tena

Averos

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2010
Posts
993
Reaction score
703
Wengine wamelala, wengine wapo kazini
IMG-20221211-WA0060.jpg
 
Serikali ya kula kwa urefu wa kamba yako. Hatari sana
 
Yana Mwisho, Watanzania Siyo Wajinga Ndugu Zangu
 
Panya waharibifu wamerudi kwa kasi kwa kuwa wanajua paka aliyepo sasa ni sawa na joka la Kibisa.
Inaumiza sana.
 
Uzuri wote ni panya, huyo mlinzi na wanaokula wote ni panya!
 
Kwa tz hii kuna watu watachezea kichapo kutoka kwa Mungu baba. Watu wanateseka ugumu wa maisha, chakula, maradhi halafu pesa za kuhudumia wanajaza matumbo yao! Subiri Muumba atakaposema imetosha, huwa haji directly but indirectly. Naamini hatakaa kimya.
 
Huyo panya mkubwa yeye kashapiga nyingi kapumzika na bado alikuwa na kitabu cha jinsi ya kula noti.
 
Back
Top Bottom