Kipara kimeanza kuota

Kipara kimeanza kuota

Stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
37,630
Reaction score
47,434
Sikuwahi kufikiri kama itatokea siku nikawa napoteza nywele aisee.

Kwa mbaali kimeanza kuja. Na nywele nyeupe nazo zimeanza.

Sasa nakua nanyoa Kila baada ya wiki mbili.

Sitaki kuamini nimefikia hatua ya kuwa na kipara.

Please help.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Pole mkuu,naona haujajikubali. Jikubali tu mahangaiko ya kunyoanyoa kisa kuficha upara ya nini? Mimi ni zaidi ya miaka 20 Sasa upo tu. Ninapotaka naacha nywele Kisha baadaye nanyoa,watu wameshanizoea[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hapana aisee.
 
We unanyoa baada ya wiki mbili mimi nanyoa kila baada ya siku mbili, nina mashine yangu. Jikubali kisha endelea na habari nyingine za maisha.
 
We unanyoa baada ya wiki mbili mimi nanyoa kila baada ya siku mbili, nina mashine yangu. Jikubali kisha endelea na habari nyingine za maisha.
Sawa mkuu.
 
Kiache kikue kizoeleke. Utakuwa huru sana. Umeshafikiri ni nani kwenye huu ulimwengu anakufanya usiwe huru na mwonekano wako? Nani? Kwann? Utapoteza lipi kwa huyo mtu au watu ukiwa na mwonekano halisi?
 
Back
Top Bottom