Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,468 Reaction score 911,184 Jun 8, 2017 #1 Ukiwa na kipara Msumbiji inabidi uwe mwangalifu sana kwani waganga wa kienyeji wanatuma watu kwa malipo kuwasaka na kuwauwa kwa imani za kishirikina na utajiri wa fasta fasta kama Albino wanavyotishiwa uhai hapa nyumbani.
Ukiwa na kipara Msumbiji inabidi uwe mwangalifu sana kwani waganga wa kienyeji wanatuma watu kwa malipo kuwasaka na kuwauwa kwa imani za kishirikina na utajiri wa fasta fasta kama Albino wanavyotishiwa uhai hapa nyumbani.
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 52,812 Reaction score 71,392 Jun 8, 2017 #2 Mmmmh hatari sana hiyo mkuu
weed JF-Expert Member Joined Sep 26, 2012 Posts 2,459 Reaction score 3,576 Jun 8, 2017 #3 Huko dawa ni kuvaa wigi kama nyoshi wa fm academia