There you go..Requires consistency... That is why it is monthly. And kama ni alcohol consistently basi uko kwa middle class, kwa sababu kuna transport, chakula, malazi, health, communication.. enye lazima ugharamie pia.
Minaona niuwe na uwezo wakuspend hicho kiwango bila kustrain...kwa sababu wengine watakunywa pombe alafu washindwe kulipa karo ama kununua msosiHaha jamaa katoa definition nzuri. ..matumizi lakini what if I spend the rated amount on buying one item at once? .. ..or unnecessarily alcohols consuming and things like that....
Sent using Jamii Forums mobile app
Manake italeta ukakasi kama unaweza tumia 23670 ksh kwenye pombe alafu umeshindwa kulipa karo,home wanakula ujinga tu,umevaa vitu chakavu unasema na wewe ni middle income individualMinaona niuwe na uwezo wakuspend hicho kiwango bila kustrain...kwa sababu wengine watakunywa pombe alafu washindwe kulipa karo ama kununua msosi
My point exactly..unapata mtu ana earn kam 25k alafu anaitumia yote kwa uo mwezi,dharura ikitokea anaenda kopa..huyo ni mtu choka tuManake italeta ukakasi kama unaweza tumia 23670 ksh kwenye pombe alafu umeshindwa kulipa karo,home wanakula ujinga tu,umevaa vitu chakavu unasema na wewe ni middle income individual
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji38][emoji38]My
My point exactly..unapata mtu ana earn kam 25k alafu anaitumia yote kwa uo mwezi,dharura ikitokea anaenda kopa..huyo ni mtu choka tu
Lakini anaenda aje kazi, analala wapi, anakula nini? So kama anaspend 23 kwa pombe lazima akue anapata kama 30-40k.My
My point exactly..unapata mtu ana earn kam 25k alafu anaitumia yote kwa uo mwezi,dharura ikitokea anaenda kopa..huyo ni mtu choka tu
You was right wapi wewe umesema anayepokea laki tano za bongo hawezi kuwa mid income Kenya wakati Jamaa hapo anaeleza mid income wenu wanaspend that amount.Yaah..I was ryt.the issue was to spend that not to make that amount
Lakini anaenda aje kazi, analala wapi, anakula nini? So kama anaspend 23 kwa pombe lazima akue anapata kama 30-40k.
Anatakiwa kuwa mkenya. [emoji38][emoji38]Ili tuseme mtu huyu ni wa kipato cha kati anatakiwa kuwa na kiasi gani cha fedha katika mapato yake mathalani kwa mwezi,anahitajika awe anamiliki mali zipi Au awe na elimu kiasi gani...tudiscuss...
Sent using Jamii Forums mobile app
Ili tuseme mtu huyu ni wa kipato cha kati anatakiwa kuwa na kiasi gani cha fedha katika mapato yake mathalani kwa mwezi,anahitajika awe anamiliki mali zipi Au awe na elimu kiasi gani...tudiscuss...
Sent using Jamii Forums mobile app
whats wrong with you,,,sijasema hawezi kua middle income kenya but tz atakua middle income..mbona unapenda kutafuta ligi kila mahali.?am very sure hata anaye earn laki tano bongo sio middle income huko tz.nliuliza tu ni pesa za bongo ama za tz cz kama nizabongo bado hajafikia but kama nizakenya amefikia..shida iko wapi apo sasa?You was right wapi wewe umesema anayepokea laki tano za bongo hawezi kuwa mid income Kenya wakati Jamaa hapo anaeleza mid income wenu wanaspend that amount.
Spending yako lazima iendane na mshahara wako. So MTU anaepokea laki tano bongo ni mid income just like the same guy earning around the same amount in Kenya.
Na huku hiyo laki tano ni ndogo sana bado, kumbe hakuna tofauti kubwa sana kati ya Kenya na Bongo.
You maybe right, rent siku hizi ni expensive... and Kenyans have a consumerism culture, they spend on many things.Kwa maoni yangu, 40,000 Kenya haitoshelezi mtu kuwa middle income. In fact huyo ni mtu maskini sana kama ana Bibi (mke) na watoto. Nikitoka chuo kikuu mshahara wangu wa kwanza ulikua Ksh. 50k na sikua nafeel stable vile. Sahii nafanya kazi ya uhandisi - watu wangu wa mkono wengi wanapata zaidi ya Ksh. 30k na hawakaribii middle income hata. Huwezi nunua gari Kenya kwa mshahara wa 30k kama huna pato lingine na kuafford gari ni mojawapo ya criteria ya middle income.
Middle income Kenya naweza iweka pato la Ksh 100,000 Nairobi na Mombasa, Ksh. 70,000 Kisumu, Eldoret, Nakuru, Thika nk. na 50,000 mashambani.