Kipato cha ziada

Kipato cha ziada

dranx

Senior Member
Joined
Dec 31, 2018
Posts
190
Reaction score
84
Habari zenu wana jf .
Mimi ni mwanachuo je naweza Fanya kazi gani online au wazo la biashara nnayoweza kufanya nikiwa chuo
 
Wewe una ujuzi gani kwanza? Una uwezo wa kufanya nini?

Ukijibu nitag nije niendelee
 
Wewe una ujuzi gani kwanza? Una uwezo wa kufanya nini?

Ukijibu nitag nije niendelee
Nipo vizuri kwenye mambo ya Internet kama Kwa muda huu nafanya kazi online kupitia website ya cashcrate
 
Nunua alizeti then chuja mashineni kisha uuzie mashineni hapo hapo mafuta na mashudu
 
Back
Top Bottom