Fivebrainy
Member
- Jul 8, 2024
- 24
- 20
Leo asee nimekaa pekeyangu wakati nimejawa na ukimya binafsi na baada ya shughuli ya kila siku nikapatwa na wazo "iv wenzangu kupitia simu zao huwa wanajitengenezea kipato kwa namna gani au wao ni kushinda online badae unafunga data huna ata mia".
Nikawaza upande wangu daah! Kwel ukitumia akil inalipa ila inahitaji uvumilivu kujijenga maan ,katika hatua za mwanzo nilitengeneza group WhatsApp la wanafunzi x cozi hiz z afya..nikajituma kulihidumia apo mwanzo mpk hatua ya robo y watu elfu 3 nikjkut nawafahm.
Now kwa madini niliyonayo na resources nawez tengenez buku mpk 50elf kwa siku ..Unaweza waz how! Ila ni mchakato mrefu nilianza nao.
Hivo nilvokuw pekeangu nikawaza vip kuhusu wenzangu! Wanaingizaj kipato kupitia simu hasa tuu WhatsApp?!
Et wadau naombeni majibu yenu " mnatumiaje simu zenu kujipatia vipato..?