JEMEDARI .H.
JF-Expert Member
- Oct 29, 2012
- 341
- 54
Wakuu naomba mnisaidie kama kuna mtu anaifahamu hii mbegu au amewahi kuitumia sifa zake zikoje uzaaji huduma nachangamoto zake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu naomba mnisaidie kama kuna mtu anaifahamu hii mbegu au amewahi kuitumia sifa zake zikoje uzaaji huduma nachangamoto zake
Kushika chini kivipi Mkuu?Mbegu nzuri sana inavumilia ukame .pia mavuno mengi ila kushika chini kwa miche ni ngumu kidogo
Uzao wake unaweza kuipita Assila?Mbegu nzuri sana inavumilia ukame .pia mavuno mengi ila kushika chini kwa miche ni ngumu kidogo