briophyta plantae Senior Member Joined Feb 18, 2017 Posts 117 Reaction score 132 Dec 9, 2018 #1 Kama tukiamua kuweka nguvu zetu kwenye mchezo mmoja ambao watanzania wenzangu mnaona tunaweza kuumudu na kutufikisha mbali kimataifa mnadhani ni mchezo gani tungeuwekea nguvu kubwa na kuupa kipaumbele..?
Kama tukiamua kuweka nguvu zetu kwenye mchezo mmoja ambao watanzania wenzangu mnaona tunaweza kuumudu na kutufikisha mbali kimataifa mnadhani ni mchezo gani tungeuwekea nguvu kubwa na kuupa kipaumbele..?