Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,153
- 2,647
Hiki kipele kimeota kwenye ngozi ya korodani, ni keupe na ni ngumu kwa kukiminya au kukishika, sasa kila nikijaribu kukikamua kinatoa usaha kwa mbali sana na pia damu inatoka si nyingi sana, na haiumi. JF Doctors, hii ni ugonjwa gani?