Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,153
- 2,647
Hiki kipele kimeota kwenye ngozi ya korodani, ni keupe na ni ngumu kwa kukiminya au kukishika, sasa kila nikijaribu kukikamua kinatoa usaha kwa mbali sana na pia damu inatoka si nyingi sana, na haiumi. JF Doctors, hii ni ugonjwa gani?
Nenda hospitali ndugu!!!
Hiki kipele kimeota kwenye ngozi ya korodani, ni keupe na ni ngumu kwa kukiminya au kukishika, sasa kila nikijaribu kukikamua kinatoa usaha kwa mbali sana na pia damu inatoka si nyingi sana, na haiumi. JF Doctors, hii ni ugonjwa gani?
Hata hapa ni Hospital, hujui kuwa hapa ni JF Doctor?
Unaweza kumfanyia vipimo kwa kutumia keyboard yako?
Haya doctor, mtibu mgonjwa huyo!!
Ugonjwa huo unaitwa kipeuo cha pili cha gono
PROBABLY hiyo ni
CHANCRE,YA SYPHILIS.,vipi ulimi nao hauna kidonda kama vile umejingata?
.,muone daktari wa magonjwa ya zinaa,.ambao pila ni madaktari wa ngozi
.[Ugonjwa huo unaitwa kipeuo cha pili cha gono.,,,,nimecheka ile
mbaya]
Hiki kipele kimeota kwenye ngozi ya korodani, ni keupe na ni ngumu kwa kukiminya au kukishika, sasa kila nikijaribu kukikamua kinatoa usaha kwa mbali sana na pia damu inatoka si nyingi sana, na haiumi. JF Doctors, hii ni ugonjwa gani?
Du! kipele cheupe!? umekwisha mkuu anza kugawa urithi!!
Nimekwisha kivipi?
Hata hapa ni Hospital, hujui kuwa hapa ni JF Doctor?
watakutisha hapa sana
mkuu,you better go to hospital and see a specialist otherwise utapewa
comments ambazo hutaamini lol
Hiki kipele kimeota kwenye ngozi ya korodani, ni keupe na ni ngumu kwa kukiminya au kukishika, sasa kila nikijaribu kukikamua kinatoa usaha kwa mbali sana na pia damu inatoka si nyingi sana, na haiumi. JF Doctors, hii ni ugonjwa gani?
Hata kwa mganga wa kienyeji hutibiwi kwa satellite.
daktari anatumiaogani za fahamu kadhaa pamoja na kuona, na kushika.
Haiwezekani ikawa imetokana na kunyoa? Huwa unapata vipele vya kunyoa?
ni hatari kuminya kipele kisichoeleweka. Nenda ukaonane na daktari haraka iwezekanavyo.