Kipele.

Kipele.

MR. DRY

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2011
Posts
637
Reaction score
122
Ninatatizo la kutoka kipele kikubwa pindi nikinyoa mavu.zi
Kinauma sana hata kufunga mkanda inanitesa..
Nisaidieni kwa ugonjwa huu.
 
mkuu hiki kipele kinaonenekana kina kutesa sana pole sana, punguza basi post naona umetuma nyingi hii ni ya 3
 
Back
Top Bottom