Kipengele cha elimu kwemye katiba sikielewi wanajukwaa

Kimetah

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2013
Posts
1,049
Reaction score
189


Haki ya elimu
na kujifunza
41.-(1) Kila mtu ana haki ya:
(a) kupata fursa ya kupata elimu bila ya vikwazo;
‐ 18 ‐
(b)kupata elimu bora ya msingi bila ya malipo na inayomtayarisha
kikamilifu mwanafunzi ama kuendelea na elimu ya ngazi
inayofuatia au kuweka msingi wa kuanza kujitegemea;
(c)kwa elimu inayotolewa nje ya utaratibu wa umma, kupata
elimu kwa gharama nafuu; na
(d)kupata fursa sawa ya kupata elimu ya juu ili mradi ana sifa
stahiki kupata elimu hiyo,
bila ya ubaguzi wa aina yoyote.
(2) Kwa madhumuni ya Ibara ndogo ya (1), kila mtu ana haki ya
kuchagua taaluma na ajira anayoitaka kwa mujibu wa elimu yake na ujuzi
aliyonao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…