[emoji1318]
WAKUU,
KUNA IDEA KUNTU SANA NIME_DEVELOP HAPA-
KWENYE HII KATIBA YETU MPYA AMBAYO MAZA AMESEMA TUJADILIANE NAYE NA PIA TUMPE MUDA,
MUDA UKIFIKA MASELA TUNG'NG'ANIE KIPENGELE CHA ADHABU YA KUMDUFUA MIMBA MWANAFUNZI KIBADILISHWE,
KIWE NI MIEZI 6 TU,
ILI WATU WAWAHI KUTOKA JELA NA KUJA KUSAIDIA MALEZI YA MTOTO.
HII YA KIFUNGO CHA MIAKA 30 HII IONDOLEWE KABISA HII!!!
[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
AU NASEMA UONGO MKUU??
[emoji1318][emoji1318][emoji1318]
Sent from my TECNO LC6a using
JamiiForums mobile app