Kipenzi cha wana Hai huko Kilimanjaro kinawakaribiisha kwenye kombe la Ramadhani cup

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
14,255
Reaction score
23,949
Mtanzania Shaban Mwanga anawakaribisha wanahai wote kwenye finali ya Ramadhani Cup leo tarehe 15.4.2023.

Jimbo la Hai, leo watapata furaha kubwa iwapo kuna kijana mmoja roho itamuuma sana ila ajiandae kwenda kuchunga mbuzi muda ukifikia.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…