Kipi bora kati ya Demokrasia na Utawala wa kifalme kwa Mustakabali wa Nchi yetu?

Kipi bora kati ya Demokrasia na Utawala wa kifalme kwa Mustakabali wa Nchi yetu?

FisadiKuu

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2015
Posts
8,169
Reaction score
13,455
Watanzania wenzangu, mara chache sana nakuja kwenye hili jukwaa. Leo nilikaa na kufikiri sana. Nikaona nije na hili swali.

Je, kipi ni bora kati ya Demokrasia na Utawala wa kifalme?

Kwa Nchi yetu kipi kitatupeleka mbele zaidi? Tunaona kila mtawala anayekuja anakuja either kutafuta fursa aneemeshe ukoo na watu wake wa karibu, Je kwa Ufalme itakuwa hivi pia?? Tukichagua Koo Moja wa kutuongoza hapa nchini, tuamue tuilishe na kushiba, bado watakuwa na ushamba huu wa kuuza na kufanya mambo ya hovyo?

Naomba wenye kuongeza nyama kwenye hii mada waongeze na wenye kukosoa wakosoe, sijataka kuandika mengi. Lakini kwa mustakabali wa Nchi, Tujiulize!
 
Back
Top Bottom