Kipi bora kati ya kuchukua Fremu ya elfu 30 eneo ambalo sio changanyikeni au elfu 50 sehemu iliyochangamka?

Kipi bora kati ya kuchukua Fremu ya elfu 30 eneo ambalo sio changanyikeni au elfu 50 sehemu iliyochangamka?

Julius Husseni

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2016
Posts
1,435
Reaction score
1,192
Wakuu msaada kwa wale wabobevu wa uchumi kipi sahihi hapo kupangisha sehem frem penye watu sio wengi na bei 30 elf wakati huo huo kwa sh elf 50 eneo populated.

Asanteni.
 
Biashara is all about changanyikeni. 20k si kitu kwenye mzunguko.
Unless unaenda kufanya biashara ya mganga wa kienyeji, hapo nenda tu ambako hakuna changanyikeni
 
Wakuu msaada kwa wale wabobevu wa uchumi kipi sahihi hapo kupangisha sehem frem penye watu sio wengi na bei 30 elf wakati huo huo kwa sh elf 50 eneo populated. Asanteni.
Inategemea unataka kuuza nini. Mfano labda unataka kuuza unga wa ugali, mchele, unga wa ngano; maharage na grains zingine: unaweza ukauza vizuri zaidi katika mitaa ya makazi kuliko huko kwenye populations.
 
Duk

Duka la mangi mkuu
 
Duk

Duka la mangi mkuu
Duka la reja reja ni bora zaidi mitaani kuliko kwenye population. Kwenye population inakuwa bora kama unauza jumla na reja reja. Kama ni reja reja peke yake, uza mtaani. Biashara yoyote unaangalia mahali wateja wako walipo na sio idadi ya watu. Wateja ndio hununua bidhaa zako na siyo idadi. Mtu hawezi kutoka nyumbani kwenda mbali kununua kiberiti, unga wa ugali, wembe, sabuni, sigara, mafuta ya mgando ya kujipaka, mshumaa.
 
Kma Kuna hizo fremu nipe Moja aiseee natfta fremu jamani ya nguo au mtu wa kuchangia nae fremu
 
Wakuu msaada kwa wale wabobevu wa uchumi kipi sahihi hapo kupangisha sehem frem penye watu sio wengi na bei 30 elf wakati huo huo kwa sh elf 50 eneo populated.

Asanteni.
Sio 50 Tu hata laki mtu unalipa kama sehem itakufanya ufikie Target!
 
Back
Top Bottom