Azoge Ze Blind Baga
JF-Expert Member
- Mar 8, 2019
- 455
- 1,731
mgonjwaNipo nimekaa hapa nawaza
Kwenye haya maisha kipi bora kumchangia mgonjwa ambaye amelala kitandani akipigania maisha au kumchangia marehemu aliyelala kwenye jeneza safari ya kaburini kwenye nyumba ya milele
Hapa nina michango mingi ya rambirambi na kuna kila jumapili tunachanga kwa ajili ya matibabu ya watu mbalimbali kule kwenye page ya Godlisten Malisa.
Kipi bora hapo??
Marehemu. Ukimchangia mara moja tu basi. Mgonjwa utaambiwa tena umchangie na tena na tena. Bora kusubiri tu afe ndo umchangie.Nipo nimekaa hapa nawaza
Kwenye haya maisha kipi bora kumchangia mgonjwa ambaye amelala kitandani akipigania maisha au kumchangia marehemu aliyelala kwenye jeneza safari ya kaburini kwenye nyumba ya milele
Hapa nina michango mingi ya rambirambi na kuna kila jumapili tunachanga kwa ajili ya matibabu ya watu mbalimbali kule kwenye page ya Godlisten Malisa.
Kipi bora hapo??
Hizi akili umeonja nini mzee!!!Marehemu. Ukimchangia mara moja tu basi. Mgonjwa utaambiwa tena umchangie na tena na tena. Bora kusubiri tu afe ndo umchangie.
Yes. Nimeonja Nini.Hizi akili umeonja nini mzee!!!
Upo sawasawa kweli upstairs?mimi nilikuwa mchangiaji mzuri sana wa harusi lakini toka mwaka juzi hata ndugu zangu niliwaambia nitachangia kwa ajili ya ndugu mgonjwa tu maana upande huo niliona hawauzingatii.
”Nini” nini?Yes. Nimeonja Nini.
UMesema nimeonja nini. Nimesema yes.”Nini” nini?