Turudi pale Rau Madukani
JF-Expert Member
- Jan 16, 2016
- 2,339
- 5,112
Tufanye utafiti tujue bei na mechanism yakeHii pia biashara huwa IPO kichwani mwangu mkuu. Inahitajika madawa ya kuhifadhia yasiharibike
Nafikiri kuanzia mwezi may, june ti julay wenye ujuzi wanaseza kutujuza hapa
Mkuu huwa napita sana hiyo njia nafanya route mara nyingi sana kutoka dar kwenda mwanza, dar kwenda chato na bukoba kwa gari ndogo abiria ni wa tochi halafu raha halafu coster uipige route ndefu upakie kama daladala hiyo safari itakuwa ndefu sanaAbiria hawakosekanag mkuu hata siku moja,..uamue kupiga route ndefu, yaan mfano ukitoa ubungo , hakuna kupakia wala kushusha mpaka kahama, kuna wakati kutakua na upungufu, ila kama njian unabeba na kushusha, pesa ipo mzee
Sent using Jamii Forums mobile app
Moro-Mahenge asiende hiyo route itamcost.TATA ukipiga shamba hukosi kulaza 300,000/= kwa siku tena huwa gari linapumzika kuliko mikimbizano ya daladala jijini DAR. Ukiweza nenda Morogoro upate route ya Moro - Kisaki ama Moro - Mahenge. Pia route ya DAR to Kisaki ina abiria wa kutosha
Nafikiri kuanzia mwezi may, june ti julay wenye ujuzi wanaseza kutujuza hapa
Thank you mkuu ubarikiwe. Unaweza ukanipa muda wako kwa kuweka nyama kidogo ni kwa sababu gani na wengine ili tujifunze kwa kuelezea tofauti ya tata na eicher. Nina imani tumezaliwa hata hatuwajui wazazi ila tumekuwa wakubwa tukawajua. Am sure everything is learnable kikubwa uwe tayari kujifunza
Mkuu..sio lazima upakie kila kituo..au kushusha, unaangalia vituo muhim kama vinne au vitanoMkuu huwa napita sana hiyo njia nafanya route mara nyingi sana kutoka dar kwenda mwanza, dar kwenda chato na bukoba kwa gari ndogo abiria ni wa tochi halafu raha halafu coster uipige route ndefu upakie kama daladala hiyo safari itakuwa ndefu sana
Moro-Mahenge asiende hiyo route itamcost.
Chukua Toyota Coaster au Nissan Civillian.
Kama unataka usiumize kichwa sana nenda Malawi kachukue body 2 za Toyota DCM kule utapata kwa bei ya kutupwa ukija huku utatafuta kadi ya gari iliyopata ajali na utazifungia engine za 3B au 2H.
Au mtafute mtu mwenye DCM mvue hapa hapa Tanzania unapata kwa bei ndogo na itapiga kazi muda mrefu.
Mkuu naona watu wanaongea wasiyoyajua kila mtu ni Mjuaji tuu lakini ukweli wa mambo hawayajui
Mie naomba nikupe experience yangu, nilichukua mwezi wa tatu Tata 105M. Unalipa 30% ambayo ni kama 30.15M. Bima kubwa 10.6M. Wanakukopesa 73.5 interest in 23% Jumla inakuja 92M kwa mwezi unarejesha 3.8M. Sasa mie niliipeleka mkoani inapiga route mkoa to mkoa baada ya kutoa matumizi yotee mafuta na posho inalaza 150k mpaka 250k siku hazilingani. inatembea masaa 8 mpaka tisa kwa siku gari haichoki tofauti na Dar inatembea zaidi ya masaa 15. Kwa mwezi unauhakika wa kulaza 4.5M mpaka 6M
Gari ikiwa bado mpya service ni oil tuu kila baada ya wiki inategemeana na urefu wa safari yako Max service Km ni 7000, Tairi na break baada ya muda kwa sababu inatembea kila siku.
Kila biashara ina changamoto watu wasikutishee kwani wanaoifanya wanawezaje. Tafuta dereva Mzuri konda weka ndugu yako unaemwamini utatembea kifua mbele. Baada ya miezi 24 unamaliza mkopo wako unaendelea kula maisha au uanweza kuuza hata 40M unarudisha hela yako. Gari ukiitunza vizuri inaweza kufanya kazi hata miaka zaidi ya 10.
Angalizo hii biashara hela ya hesabu usiende kulia bata inatakiwe uiwekee kwenye account na hyo account usiizoee fanya kama hauijuii kabisa maana gari muda wowote inaweza taka hela afu we hela ushalia bata ndo hapo unaposikia mtu amepaki gari. Siku zote hela za biashara usiziingize kwenye matumizi yako binafsi au ya nyumbani acha biashara ijiiendeshe yenyewe huku matumizi yako unayatoa sehemu nyinyinge
Ukihitaji Contact za Tata karibu. All the Best
Mkuu nataka ninunue hiace,nataka niiweke iringa,Umeongelea 20M,naweza kupata hiace kwa hiyo bei kuagiza kutoka japan?Mkuu kwa nini umalizie pesa yote kwenye gari moja? Hiyo pesa nunua hice mbili za 20m ziweke Mwanza inayobaki utajua mwenyewe utakavyo itumia
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku hizi simwon Super kasri, sijui kapotelea wapatakufa kwa pressure.
labda angetafuta dsm za mzee wa casri wa gongo la mboto
Sent using Jamii Forums mobile app
alibadilisha biashara, ila muda c mrefu atarudi.
Mkuu nataka ninunue hiace,nataka niiweke iringa,Umeongelea 20M,naweza kupata hiace kwa hiyo bei kuagiza kutoka japan?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu chukua Tata kwa sasa Dar es salaam Hice hazina soko hazitakiwi na mamlaka hadi abiria,ukikosa TATA chukua Kosta.@keisangora,
Anauza DCM kwa million 30 kwa kigezo kipi anakuwa ameisuka sana body au yeye anafunga engine ipi mpaka auze bei kubwa.alibadilisha biashara, ila muda c mrefu atarudi.
Yule bwana DCM anakuuzia hadi 30M na unaondoka moyo mweupe.