Kipi bora kupanda Miti ekari 50 au kuwekeza kwenye hisa?

Supervision

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2016
Posts
265
Reaction score
203
Naamini nitakuwa nimepata jukwaa huru la kushare kile ambacho kipo kwenye mind yangu na kinasumbua kwelikweli.

Wadau ninaomba msaada wa mawazo kati ya haya mawazo mawili, kupanda miti ekari hamsini ama kuweka hisa pesa yangu baada ya miaka mitatu niichukue, nipeni ushauri
 
MI NAONA YA MITI NDO NZURI KWA MAANA UKIPANDA EKARI 50 NA UKAITUNZA MITI HIYO BAADA YA MIAKA NANE HIVI MAVUNO YAKE NI ZAIDI YA BILIONI MOJA.
 
Hisa ndo kila kitu....miti inaweza isiote yote au likatokea janga la moto ikaungua
 
Vyote vina disadvantage na advantage, so take risk ya kimojawapo
 
Kuna avenue hujazifikiria:
1) Government Securities
2)UTT

Hizi 2 zina predictable returns
Hisa kwa Nchini yetu bado,soko ni changa mno,jaribu kuangalia trend ya soko la Dar,lipo stagnant.
 

Nakushauri upande miti, ila ni long run plan after 5 to 10 yrs ita double 100 times ya yule aliyewekeza kwenye hisa
 
mkuu panda tu miti. wasiwasi wangu ni unavoandika kwa shida hivo si ajabu na kusoma kwako kukawa mtindo huo huo hivyo kupelekea kuibiwa huko kwa wajanja wa hisa. samahani kama ushauri wangu una ukakasi.
 
Uwekezaji wa kwenye miti ni suala la muda mrefu. Ni zaidi ya hiyo miaka 3 ndiyo utapata faida.

Ila kwa hali ya uchumi na mwenendo wa dunia hii wekeza miti.
 
Kuna avenue hujazifikiria:
1) Government Securities
2)UTT

Hizi 2 zina predictable returns
Hisa kwa Nchini yetu bado,soko ni changa mno,jaribu kuangalia trend ya soko la Dar,lipo stagnant.
Mkuu unaweza kutufafanulia kuhusu hili kwa urefu, especially UTT
 
panda miti, kata hatimiliki, kata bima ya moto.
 
mkuu panda tu miti. wasiwasi wangu ni unavoandika kwa shida hivo si ajabu na kusoma kwako kukawa mtindo huo huo hivyo kupelekea kuibiwa huko kwa wajanja wa hisa. samahani kama ushauri wangu una ukakasi.
Ilikuwa nimepost haraka without editing
 
Nashukuru sana kwa ushauri wenu wadau.NI KWELI LAKINI KWAMBA WITHIN FOUR Years ntakuwa na bilion nkiitunza vizuri?
 
Itategemea na haina ya miti na location unapofanyia project ya miti, pia usiweke matarajio ya ndani ya miaka 3 kuwa imakulipa, pia kuna cost za kila mwaka katika kuhudumia hiyo miti mpaka wakati wa kuvuna...let say kama miti ya miaka 10_ 15yrs hapo jua una miaka hiyo ya kuhudumia miti yako kuihepusha na majanga ya moto, na kurudishia miche iliyokufa.etc
 
Owk lakini nasikia unaweza ukakata hati then ukachukua mkopo benki kwa ekali tano zenye miaka mitano hadi milioni thelathini unapata nimesikiasikia.So nkichukulia mkopo then nikaendelea kulihudumia shamba is not an issue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…