M Mr.creative JF-Expert Member Joined Aug 8, 2011 Posts 492 Reaction score 117 Aug 23, 2011 #1 Whatzap jf ! upande gani wewe unaona unafaa zaidi kwa sasa? maelezo yako yazingatie nyakati hizi.
The Boss JF-Expert Member Joined Aug 18, 2009 Posts 49,282 Reaction score 117,244 Aug 23, 2011 #2 always better kuwa na mtu... hata hao wanaoponda mahusiano,wapo kwenye mahusiano pia...
M Mr.creative JF-Expert Member Joined Aug 8, 2011 Posts 492 Reaction score 117 Aug 23, 2011 Thread starter #3 Mh! sijakusoma THE BOSS!
Husninyo JF-Expert Member Joined Oct 24, 2010 Posts 23,851 Reaction score 9,472 Aug 23, 2011 #4 Mahusiano gani? Mambo yetu yaleeee au?
mikatabafeki JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 12,771 Reaction score 4,649 Aug 23, 2011 #5 mambo gaaaani?
The Boss JF-Expert Member Joined Aug 18, 2009 Posts 49,282 Reaction score 117,244 Aug 23, 2011 #6 Mr.creative said: Mh! sijakusoma THE BOSS! Click to expand... watu wanaojadili matatizo ya mahusiano hawasemi bora usiwe na mahusiano but wanataka mahusiano bora zaidi...
Mr.creative said: Mh! sijakusoma THE BOSS! Click to expand... watu wanaojadili matatizo ya mahusiano hawasemi bora usiwe na mahusiano but wanataka mahusiano bora zaidi...
Biohazard JF-Expert Member Joined Aug 21, 2011 Posts 2,197 Reaction score 1,465 Aug 23, 2011 #7 The Boss said: always better kuwa na mtu... hata hao wanaoponda mahusiano,wapo kwenye mahusiano pia... Click to expand... Ni sawa wanaponda sababu wameona madhara yake so wanawashauri virgins kama mie
The Boss said: always better kuwa na mtu... hata hao wanaoponda mahusiano,wapo kwenye mahusiano pia... Click to expand... Ni sawa wanaponda sababu wameona madhara yake so wanawashauri virgins kama mie
Vaislay JF-Expert Member Joined Jun 26, 2011 Posts 4,532 Reaction score 1,829 Aug 23, 2011 #8 Kila mtu na itakavyomkalia..uktaka kujhucsha au ucjhucshe km mm.n wewe tu na swala la maamuz