Mbona ushahukumu kabisaNimeandika toleo hile lengo tutanuane kimawazo
1.UTT AMIS ni mfuko wa uwekezaji ambao unapata gawio la kila mwezi makadirio 400,000/= mfuko wa bondfund
-hakuna chochote cha kusimamia wala malalamiko ya kutatua kama migogoro ya wapangaji
2.NYUMBA ni uwekezaji mzuri sana kama ukipata sehemu inayokua thamani maana sio maeneo yote yanakua thamani hata wajukuu mbeleni wakapiga bingo
-migogoro ya wapangaji ni pasua kichwa
Hii kitu inaitwa UTT AMIS hii.... mh. Siwajui na wala sijawekeza kwao ila tu roho yangu huwa inadunda..Nimeandika toleo hile lengo tutanuane kimawazo
1.UTT AMIS ni mfuko wa uwekezaji ambao unapata gawio la kila mwezi makadirio 400,000/= mfuko wa bondfund
-hakuna chochote cha kusimamia wala malalamiko ya kutatua kama migogoro ya wapangaji
2.NYUMBA ni uwekezaji mzuri sana kama ukipata sehemu inayokua thamani maana sio maeneo yote yanakua thamani hata wajukuu mbeleni wakapiga bingo
-migogoro ya wapangaji ni pasua kichwa
Ardhi inapanda thamani Kila siku hata kama nyumba haitakulioa vizuri bado itakuwa ni hazina yako mbeleniNimeandika toleo hile lengo tutanuane kimawazo
1.UTT AMIS ni mfuko wa uwekezaji ambao unapata gawio la kila mwezi makadirio 400,000/= mfuko wa bondfund
-hakuna chochote cha kusimamia wala malalamiko ya kutatua kama migogoro ya wapangaji
2.NYUMBA ni uwekezaji mzuri sana kama ukipata sehemu inayokua thamani maana sio maeneo yote yanakua thamani hata wajukuu mbeleni wakapiga bingo
-migogoro ya wapangaji ni pasua kichwa
Roho yako ikidunda unaona ni kweli....acha fikra za kimasikiniHii kitu inaitwa UTT AMIS hii.... mh. Siwajui na wala sijawekeza kwao ila tu roho yangu huwa inadunda..
Endeleeni wenye fikra za kitajiri. Kila la kheri. BTW wabongo elimu yetu inaturuhusu kukariri mambo yalivyo na kuyasifia! Ukihoji kutaka kujua au kuonyesha mashaka unaitwa mpinzani!Roho yako ikidunda unaona ni kweli....acha fikra za kimasikini
Tumewekeza miaka mingapi na kika tunapohitaji fedha tunapata na bado tunawekeza,,,kwanza unaijua UTT,,,unataka ukiwa mjinga kila mtu awe mjinga kama wewe.Nyie ndo wale kila kitu ni risk....wapi umehoji ukakosa kuelekezwa weweEndeleeni wenye fikra za kitajiri. Kila la kheri. BTW wabongo elimu yetu inaturuhusu kukariri mambo yalivyo na kuyasifia! Ukihoji kutaka kujua au kuonyesha mashaka unaitwa mpinzani!
Inakuruhusu wewe kukariri siyo kila mtu,,,na mimi sijasoma bongo kwa taarifa yako.Acha kutishia watu kwenye kitu huba uelewa nacho na hujawah kujaribu na hujajifunza.unarukia tuu naamini hujawah jifunza wala kuisoma ni nini na inafamyaje kazi ila unarukia kutisha watu,,,fungua akili UTT wala haihitaji elimu kubwa sana wala kiwango kikubwa kuanzia kuwekeza weka hata 50,000 bas kwa mwaka mzima usiweke kitu uone ndo uje kuja kulalamika hapa.Ukishindwa hiyo weka hata 10,000 basi ndo useme moyo wako una dundaEndeleeni wenye fikra za kitajiri. Kila la kheri. BTW wabongo elimu yetu inaturuhusu kukariri mambo yalivyo na kuyasifia! Ukihoji kutaka kujua au kuonyesha mashaka unaitwa mpinzani!
Hakika wewe hata nje ya mkoa uliozaliwa hujawahi kutoka. Hakuna namna mtu mwenye exposure akaandika kitu ulichoandika.Inakuruhusu wewe kukariri siyo kila mtu,,,na mimi sijasoma bongo kwa taarifa yako.Acha kutishia watu kwenye kitu huba uelewa nacho na hujawah kujaribu na hujajifunza.unarukia tuu naamini hujawah jifunza wala kuisoma ni nini na inafamyaje kazi ila unarukia kutisha watu,,,fungua akili UTT wala haihitaji elimu kubwa sana wala kiwango kikubwa kuanzia kuwekeza weka hata 50,000 bas kwa mwaka mzima usiweke kitu uone ndo uje kuja kulalamika hapa.Ukishindwa hiyo weka hata 10,000 basi ndo useme moyo wako una dunda
Sijakukataza kuwekeza. Totaly you have no clue what I was asking about! Asking for more information about the investment is a reasonable part of conducting due diligence.Tumewekeza miaka mingapi na kika tunapohitaji fedha tunapata na bado tunawekeza,,,kwanza unaijua UTT,,,unataka ukiwa mjinga kila mtu awe mjinga kama wewe.Nyie ndo wale kila kitu ni risk....wapi umehoji ukakosa kuelekezwa wewe
Sawa sina muda wa kubishana na weweHakika wewe hata nje ya mkoa uliozaliwa hujawahi kutoka. Hakuna namna mtu mwenye exposure akaandika kitu ulichoandika.
Naona bado hunitambui endelea kuamini unachoamini hivyo hivyoSijakukataza kuwekeza. Totaly you have no clue what I was asking about! Asking for more information about the investment is a reasonable part of conducting due diligence.
Kitu hujawahi kufanya tutabisha kwa evidence gani.Huijui bali unasikia mengi kwa watu tuHakika wewe hata nje ya mkoa uliozaliwa hujawahi kutoka. Hakuna namna mtu mwenye exposure akaandika kitu ulichoandika.