Kipi bora kwa mashabiki wa Simba

Kipi bora kwa mashabiki wa Simba

Ipi ni nafuu kwa watu wa Simba kati ya possibilities hizi: Simba kushika nafasi ya tatu na Feisal kuwa mfungaji bora; au Simba kushika nafasi ya pili na Aziz Ki kuwa mfungaji bora
Option ya pili ni nzuri zaidi Mkuu.
 
Wewe sio shabiki wa Simba. Tuache wenyewe tujibu. Ni bora tu Fei Toto awe Mfumgaji Bora na sie Simba tuwe Mshindi wa Tatu. Kwanza Kombe la Shirikisho mbona zuri tu. Halina noma wala nini!!!
Hata mimi nikiwa kama shabiki kindakindaki wa simba, nitafurahi kuona Fei Toto anashinda tuzo ya ufungaji bora, halafu msimu ujao tutajipanga tu upya kwa ajili ya kugombania hiyo nafasi ya pili.
 
Hata mimi nikiwa kama shabiki kindakindaki wa simba, nitafurahi kuona Fei Toto anashinda tuzo ya ufungaji bora, halafu msimu ujao tutajipanga tu upya kwa ajili ya kugombania hiyo nafasi ya pili.
Mmmmmh
 
Bora wapambane washuke nafasi ya tatu ili na wao wapate nafasi ya kufiko fainali shirikisho Afrika kama wataweza

au mnaonaje wana thimba
 
Back
Top Bottom