The Dude JF-Expert Member Joined Sep 14, 2011 Posts 1,029 Reaction score 459 Sep 18, 2011 #1 hii kitu niliipost kwenye jukwaa la sheria lakini nimeshauriwa na mtu ni post huku kwenye jukwaa la elimu... Wadau naomba mawazo yenu..mtu anamaliza LLB mwaka huu, uamuzi mzuri zaidi ni upi kati ya kupiga masters na kwenda law school?
hii kitu niliipost kwenye jukwaa la sheria lakini nimeshauriwa na mtu ni post huku kwenye jukwaa la elimu... Wadau naomba mawazo yenu..mtu anamaliza LLB mwaka huu, uamuzi mzuri zaidi ni upi kati ya kupiga masters na kwenda law school?
mikatabafeki JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 12,771 Reaction score 4,649 Sep 18, 2011 #2 hbu jitahidi unajihakikishia ajira kwanza utamaliza mastrs yako au law school utakuta kumejaa mana ssa vyuo vinavotoa sheria ka njugu
hbu jitahidi unajihakikishia ajira kwanza utamaliza mastrs yako au law school utakuta kumejaa mana ssa vyuo vinavotoa sheria ka njugu
Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,058 Reaction score 2,195 Sep 18, 2011 #3 Piga kazi kwanza thn ingia school of law.
Belo JF-Expert Member Joined Jun 11, 2007 Posts 12,897 Reaction score 10,213 Sep 18, 2011 #4 Kwa system ya Tanzania ni bora Law School kuliko LLM
ngoshwe JF-Expert Member Joined Mar 31, 2009 Posts 4,131 Reaction score 937 Sep 18, 2011 #5 Kama unataka kufanikisha mambo haraka, maliza Law School, pata uwakil (advocate), kisha LLM. Vinginevyo, nenda LLM ili ukirejea nenda Law School. Elewa Law School ipo pale pale hata ukiwa na Phd.
Kama unataka kufanikisha mambo haraka, maliza Law School, pata uwakil (advocate), kisha LLM. Vinginevyo, nenda LLM ili ukirejea nenda Law School. Elewa Law School ipo pale pale hata ukiwa na Phd.