Mimi sio mhasibu ila haiitaji kuwa na PhD ya Physics kujua kwamba CPA ndio bora.Naomba kuuliza kama mtu umejiajiri na unatamani kujiendeleza kimasomo kwenye fani ya usimamizi wa fedha ...ni Bora kusoma kipi kati ya hizo program mbili na kati ya hizo ni ipi ambayo itakupa muda mzuri wa kufanya mambo yako mengine ..
NB : naomba pia ushauri wa chuo gan kinatoa evening classes Kwa Master degree
Nashukuru sana Kwa ushauri wako [emoji120][emoji120]Mimi sio mhasibu ila haiitaji kuwa na PhD ya Physics kujua kwamba CPA ndio bora.
CPA inakutambulisha kama mtaalamu "professional".
Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
Ukimaliza CPA ndio usome masters.. atleast kwanza utambulike kama a professional..Nashukuru sana Kwa ushauri wako [emoji120][emoji120]
vyote kwakweli ni bora sana, itategemea muda wako na program yeyewe.Naomba kuuliza kama mtu umejiajiri na unatamani kujiendeleza kimasomo kwenye fani ya usimamizi wa fedha ...ni Bora kusoma kipi kati ya hizo program mbili na kati ya hizo ni ipi ambayo itakupa muda mzuri wa kufanya mambo yako mengine ..
NB : naomba pia ushauri wa chuo gan kinatoa evening classes Kwa Master degree
Oh .... nashukuru sana ..ngoja nichek taratibu za CPA mkuuAchana na master's degree kwanza pambania CPA
Tuna wahasibu wengi sana wenye bachelor's degree au master's degree lakini kisheria sio wahasibu
Professionally na kisheria mhasibu ni yule mwenye CPA
Nimependa hii ...be blessed boss ..acha nifatilie mkuuUkimaliza CPA ndio usome masters.. atleast kwanza utambulike kama a professional..
Pitia huu uzi upate abc kutoka kwa wahasibu wenzako.
Wanaotaka kuanza kusoma CPA karibuni tushauriane
Habari wakuu! Kwa wanotaka kuanza kusoma na waliosoma CPA karibuni mtushauri lolote, kwanza kabisa nahitaji kufahamu, 1) Intake ni mara ngapi kwa mwaka, yaani unaweza anza mwezi gani? Now tunaingia mwezi June je intake nyingine inaanza lini? 2) Vigezo vya kuanza ni vipi? Najua kuna levels...www.jamiiforums.com
Wanaotaka kuanza kusoma CPA, karibuni tushauriane
Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
Hao wasio na CPA ni maafisa HesabuAchana na master's degree kwanza pambania CPA
Tuna wahasibu wengi sana wenye bachelor's degree au master's degree lakini kisheria sio wahasibu
Professionally na kisheria mhasibu ni yule mwenye CPA
Umesema vyemaHao wasio na CPA ni maafisa Hesabu
Nashukuru kwa kunielewesha.Hao wasio na CPA ni maafisa Hesabu
Binafsi sijui ingekua course za Engenearing hapo tunaongea lugha moja🙏Naomba kuuliza kama mtu umejiajiri na unatamani kujiendeleza kimasomo kwenye fani ya usimamizi wa fedha ...ni Bora kusoma kipi kati ya hizo program mbili na kati ya hizo ni ipi ambayo itakupa muda mzuri wa kufanya mambo yako mengine ..
NB : naomba pia ushauri wa chuo gan kinatoa evening classes Kwa Master degree
Wapi naweza kusoma ACCA hapa nchini ..I mean tuition center na vituo vya mitihaniUkifanya ACCA ukafaulu mitihani yake. CPA utaipata pia kwa urahisi sana. Maana mwenye ACCA huwa anafanya mitihani mitatu tu kisha anapewa CPA.
Ila ukiwa na CPA bado hupati favor yoyote kwenye ACCA.
Pia ACCA inaheshimika kuliko CPA na Masters
Fanya uchunguzi wako utaona wafanyakazi wa big 4 Auditing firms. Wanavyopiga shortcut kupata CPA. Kwa kutumia mbinu ya kufanya ACCA kwanza.
Kama umejiajiri then focus na core activities za shughuli yako.Nimejiajiri