Binafsi napingana na hao wanaotaka experience kwenye Mapenzi. Mapenzi siyo kazi ya kusema unahitaji uzoefu wa kufanya kazi wapi kwenye makampuni yapi makubwa na challenges ulizokutana nazo huko! Hii ni field tofauti kabisa!!
Nafikir ni vzr kuweka pembeni experience kwenye mapenzi maana kwanza inaonyesha kutokuwa na uaminifu kwenye mahusiano yako, pili inaweza kukuletea matatizo ya kisaokolojia na mwishowe kushindwa kabisa kufurahia tendo la ndoa kwa sababu ya aina ya machine mtu nazokutana nazo mfano kwa mwanamke anakutana na ndefu, fupi, nene, nyembaba, kubwa mno nk na wanaume hivyo hivyo wanakutana na kubwa, sijui pana sana, inayobana, yenye maji nk. Kama hauna experience ni ngumu kutofautisha ladha so unajilia na kufaidi kimya kimya unatosheka, vinginevyo utaendelea kusaka vitu vya nje. Na tatu, kuna experience nyingine ni mbaya kama zilivyo za kula au kuliwa tigo na mambo mengine mengi machafu ambayo hawa wanaojiita wana experience huyafanya pasipo kujua madhara yake kiafya.
Ushauri wangu ni bora ambaye hana experience maana huyo ni mwaminifu na pia anaonekana si mtu wa tamaa mbaya.