Nyakwaratony
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 573
- 140
uzoefu unamata
kutembea kwingi ni kuona mengi
mimi nadhani ninauzopefu wa kutosha sio rahisi kumzingua mwenzangu maana nimeona mengi
kweli,mimi mwanaume ambae hajawai kuwa na mahusiano wala simtaki kabisa,nataka ambae ameshateswa na mapenzi hadi amejichokea kabisa na maisha akija tunapumzika tuThere ur mamito... clap clap clap........ mana unaweza kuta alishakuwa na mtu mmoja mengi hajui LOL
uzoefu unamata
kutembea kwingi ni kuona mengi
mimi nadhani ninauzopefu wa kutosha sio rahisi kumzingua mwenzangu maana nimeona mengi
kweli,mimi mwanaume ambae hajawai kuwa na mahusiano wala simtaki kabisa,nataka ambae ameshateswa na mapenzi hadi amejichokea kabisa na maisha akija tunapumzika tu
naendelea kufanyeje saint?bado unaendelea au umeacha?
mambo ya brand new yana sehemu zake sio kwenye malovee bwana,mimi nataka kitu used screpar kabisaaaaKweli kabisa mamie! make hata kwenye kazi wanataka experience!
wewe .vitu used ni wa ukweli bwana.Kila mtu na raha yake... mie akiwa hajui hasa ndio raha yangu nimfundishe mwenyewe hata akienda kwengine atakumbuka mwalimu wake mie.
naendelea kufanyeje saint?
Kitu brand new ndio mpango mzima, scrapers zinakutu unawezapata tetenasi haraka. Unaambiwa samaki mbichi mkunje angali mbichi, mfano ukutane na hawa wanaochomekea dira kwenye chupi utawaweza kweli
maona upo kingono zaidi.kwani mapenzi ni ngonoBinafsi napingana na hao wanaotaka experience kwenye Mapenzi. Mapenzi siyo kazi ya kusema unahitaji uzoefu wa kufanya kazi wapi kwenye makampuni yapi makubwa na challenges ulizokutana nazo huko! Hii ni field tofauti kabisa!!
Nafikir ni vzr kuweka pembeni experience kwenye mapenzi maana kwanza inaonyesha kutokuwa na uaminifu kwenye mahusiano yako, pili inaweza kukuletea matatizo ya kisaokolojia na mwishowe kushindwa kabisa kufurahia tendo la ndoa kwa sababu ya aina ya machine mtu nazokutana nazo mfano kwa mwanamke anakutana na ndefu, fupi, nene, nyembaba, kubwa mno nk na wanaume hivyo hivyo wanakutana na kubwa, sijui pana sana, inayobana, yenye maji nk. Kama hauna experience ni ngumu kutofautisha ladha so unajilia na kufaidi kimya kimya unatosheka, vinginevyo utaendelea kusaka vitu vya nje. Na tatu, kuna experience nyingine ni mbaya kama zilivyo za kula au kuliwa tigo na mambo mengine mengi machafu ambayo hawa wanaojiita wana experience huyafanya pasipo kujua madhara yake kiafya.
Ushauri wangu ni bora ambaye hana experience maana huyo ni mwaminifu na pia anaonekana si mtu wa tamaa mbaya.