Mie nataka kipya nitoe manailoni mwenyewe! Walitumika wanamambo yao, yaninijitunze miaka yote hiyo nijekutana na alifilisika kimapenzi.
No can't be forever
maona upo kingono zaidi.kwani mapenzi ni ngono
mwenye ujuzi ndio mzuri zaidi na hamuezi zinguana hata siku moja
uzoefu unamata
kutembea kwingi ni kuona mengi
mimi nadhani ninauzopefu wa kutosha sio rahisi kumzingua mwenzangu maana nimeona mengi