Je matarajio yako ni yale ya nenda veta ukajiajiri ama malengo ni zaidi ya hapo?Ikiwa tu ni kwenda veta nenda,ila kujiajiri na kuajiriwa usubiri kauli nyingine njoo uajiriwe!Shalom,
Kati ya Truck Mechanics (ass job) na Electronics ipi bora kwa ngazi ya VETA?
Na ipi inaweza kuwa na muendelezo mzuri hadi kufikia levels za juu? (Specialisation sio lazima diploma ama degree)
Na inawezekana kuhama kutoka Chuo kimoja cha VETA kwenda kingine kwa kozi tofauti? Kwa kijana mwenye miaka 25
Karibu utoe maoni yako