najua tunapendana sana lkn najiskia vzr sana pale nnapohisi kuwa unanipenda zaidi....lolKama ni kuzidiana katika kupenda basi inakuwa raha pale unapopenda na wewe unapendwa na pale unapopendwa na wewe unapenda pia, tofauti ya hapo ndio pale unapompenda mtu kumbe yeye yuko on the other side of the coin.
Hivi kuna 10% au 50% au 100% kupenda???
Mimi sijali kama Ninapendwa na mimi Ninapenda inatosha, nadhani ni mawili either napendwa au sipendwi..
Na kila kitu kikizidi ni karaha..., cause sitapenda mtu anywe sumu eti sababu nimechelewa kurudi, au kunibana hadi nishindwe kupumua...
tatizo wanawake wengi ukiwapenda sana unaharibu....
wanatulia tu ,wakikupenda wao sana
its true brother i agree with u 100% .....mwanamke ukionyesha unampenda atakutesa saaaana i had proof on this