Habari za muda huu watanzania wenzangu
Kati ya
1.kufuga ng'ombe wa maziwa na kulima mazao ya bustani pemben yake eg.Hoho,chinese,pilipili etc (location ni pwani au Dar)
2.Kufanya uwakala wa mobile money mpesa,tigopesa etc
Kwa mtazamo wangu biashara nyingi gu ambazo watu wanafanya zinalipa itategemea na wewe unapendelea ipi, japokuwa kwa kila biashara nafikiri vitu vikuu vya kuzingatia ni
***Location ***na
Uhakika wa soko, uhitaji wa bidhaa/huduma unayouza/kutoa
Unaweza kufanya biashara ya mobile money kwa mtaji sawa na mtoa huduma mwingine lakini mkatofautiana kimapato kwasababu tu ya location