Kipi cha kuzingatia unapotaka kununua nyumba?

Prakatatumba abaabaabaa

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2022
Posts
1,842
Reaction score
6,087
Nitajuaje kama nyumba ninayotaka kununua ina migogoro? Nitajuaje kama labda nyumba ina mkopo bank?, nitajuaje kama kiwanja kipo na migogoro?

Na mshikaji wangu ana budget ya million 25 anataka kununua nyumba, aingie kabisa, kaanza kuconsult madalali wametumia nyumba za ofa yake, target yake ni Chanika, chamazi au Mwanza.

Ukiachana na kwenda ardhi kufatilia hati kama ni halali kipi kingine jamaa azingatie kabla hajafanya maamuzi?
 
Asinunue nyumba chamazi wala chanika kama hana mtu anayewajua wenyeji wa huko vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…