Kipi cha muhimu kwenye soko la ajira,GPA na Chuo ambacho mtu alisomea au GPA pekee

muhinda-moja

Senior Member
Joined
Sep 22, 2014
Posts
117
Reaction score
9
Naombeni wana jf msaada wa mawazo,kipi bora kwenye soko la ajira,ni GPA + Chuo ulichosomea au ni GPA,Chuo ulichosomea mbele kwa mbele!
 
Kufaulu interview tu baas na uwezo wako wa kufanya kazi.....zingine hizo mbwembwe tu
 
Reactions: m2j
Uwezo wa kucheua ulichokisoma, tena kwa lugha ya kiingereza safi,mbele ya wanokusaili,jinsia ya kike,kabila lako,na bahati uliyozaliwa nayo

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
GPA inamata sana lakini huwezi kuitaja GPA bila chuo so chuo kwanza GPA badae, mfano kutokana na research iliyofanywa na wasomi waliobebea katika maswala ya Human resource na magwiji wengine nchini, wamebaini kwamba GPA ya 2.0 ya UDSM ni sawa na GPA ya 4.8 ya vyuo mbuzi kama sekuko, ruco, josia kibira, saut bukoba, sauti mpanda, sauti mtwara na vyuo mbuzi vingine.

Mfano kwenye vyuo mbuzi unakuta mtu wa mwisho ana GPA ya 3.8 sasa hapo unadhani kuna uhalisia kweli?
 

Hakuna. Vyuo mbuzi acha ushule tafuta maisha dogo
 

Acha dharau we pimbi vyuo mbuzi baba ako anavyo kubahatisha hiyo ud na likozi lako la ki.sen.ge unajiona umemaliza kila kitu, unajitapa hapa jukwaa la elimu ila after few yrs tutakukuta jukwaa la ajira unalia lia, afu comment zako nyingi znaonyesha kwanza we ni mgeni hapa jf, hata matumizi ya internet umeyajua juzi baada ya kupata posho jkt ukanunua hiko kimchina chako, acha wehu unajichora tu mazaf.ka
 

Samahani sana mkuu kama nimekukwaza, pia ni muhimu ukajikita kwenye hoja badala ya matusi na kashfa kwangu, Pia mkuu ni lazima uwe na uvumilivu sababu tunatofautina sana mitazamo.
 

**** wewe! Kojoa ulale.. ndio nyie mnao sapua mnakuja kutusumbua mtaani
 
Samahani sana mkuu kama nimekukwaza, pia ni muhimu ukajikita kwenye hoja badala ya matusi na kashfa kwangu, Pia mkuu ni lazima uwe na uvumilivu sababu tunatofautina sana mitazamo.

Ifm BBF GPA 4.0, hapo vp
 

Ha ha dah vyuo mbuzi pameniacha hoi lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…