super thinker
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 370
- 109
Must be love......at first sight
Mimi ilikaa hivi...Sijui unasemea mahusiano gani, ila ya ndoa za siku hizia... Inaanza committment. And if you are Lucky in the long run you Love one another.... Watu wanaangalia mtu ambae ana kazi na anajiweza... tabia yake kama ipo reliable kuweza kua mume/mke na baba/mama... kama wanaweza tengeneza maisha pamoja na kutegemea maendeleo (Ikipimwa kwa kazi ama shughuli za kila siku za wahusika). Kama jibu ni yes kwa yoote hayo then mna commit kua pamoja... then you Love.
Hio ya love ukubwani imekua nadra... sasa hivi Love ipo kwa wale ambao wanakua na kujifunza mahusiano....
OTIS, u r also confused kama mm, tuwangoje wajomba watushauri..........kip loadingNone of the above.
OTIS
I am fully COMMITTED to you sweetie, you are so gorgeous and cute my darling....
A lot of people abuse the word LOVE so they can get someone to COMMIT, commitment is apart of LOVE but it's not just a word you use to describe commitment.
Mimi ilikaa hivi...
Kwanza nilimtamani, then baadaye nikampenda baadaye nikaji-comit sijui uzoefu wa wengine
Mimi ilikaa hivi...
Kwanza nilimtamani, then baadaye nikampenda baadaye nikaji-comit sijui uzoefu wa wengine
MmmmmmmhHili swali dah........
Commitment kutafsiri maana yake ni kuwa responsible au kutake responsibility juu ya kitu ambacho kitachukua muda, energy yako in a form of an obligation
Kimapenzi ni ile hali ya kuwa loyal, devoted au dedicated to a person or relationship.............. Sasa can you do that if you do not love that person?
Yes and No.
Yes- unawezakuwa responsible kwa mtu because of pity,
- Unawezakuwa loyal, devoted na dedicated kwa mtu because of his/her wealthy or other beneficial factors
No - Ni ngumu kuwa mkweli, loyal kwa mtu ambaye huna love kwake. Loyal inahusiana pia na kutokucheat kimoyomoyo
Confused kidogo, kwenye mapenzi ni kipi kinaanza, LOVE then Commitment kwamba unampenda mtu then unaamua kujicommit kwake ama Commitment then Love will definately find its way through kwamba as long as unahisi unapendwa, unajicommit then kwa uamuzi huo unampenda as you go along???????

Sijui unasemea mahusiano gani, ila ya ndoa za siku hizia... Inaanza committment. And if you are Lucky in the long run you Love one another.... Watu wanaangalia mtu ambae ana kazi na anajiweza... tabia yake kama ipo reliable kuweza kua mume/mke na baba/mama... kama wanaweza tengeneza maisha pamoja na kutegemea maendeleo (Ikipimwa kwa kazi ama shughuli za kila siku za wahusika). Kama jibu ni yes kwa yoote hayo then mna commit kua pamoja... then you Love.
Hio ya love ukubwani imekua nadra... sasa hivi Love ipo kwa wale ambao wanakua na kujifunza mahusiano....
Hili swali dah........
Commitment kutafsiri maana yake ni kuwa responsible au kutake responsibility juu ya kitu ambacho kitachukua muda, energy yako in a form of an obligation
Kimapenzi ni ile hali ya kuwa loyal, devoted au dedicated to a person or relationship.............. Sasa can you do that if you do not love that person?
Yes and No.
Yes- unawezakuwa responsible kwa mtu because of pity,
- Unawezakuwa loyal, devoted na dedicated kwa mtu because of his/her wealthy or other beneficial factors
No - Ni ngumu kuwa mkweli, loyal kwa mtu ambaye huna love kwake. Loyal inahusiana pia na kutokucheat kimoyomoyo
Love kwanza then comitment inafuata,mimi siwezi kujicomitt kwa mtu ambaye sijampenda,how can that be possible?
hakuna love kama hakuna hakuna commitment.................kwa hiyo lazima uwe mtu wa kubeba jukumu la kupenda ndiyo uweze kupenda............kama siyo mtu wa kubeba majukumu ......how can you love anyone including yourself...............unless you a responsible person.......