Mkimuyangu
JF-Expert Member
- Oct 5, 2022
- 1,054
- 1,947
Hivi inaingia akilini kweli?wakagombana tu sababu ya tunda la mti wa katikati,na hilo tunda linaitwaje,ni kati ya haya matunda tuliyonayo duniani? Mbona hamna tunda lililokatazwa tofauti na nguruwe na pombe?Tunda la mti wa katikati
Mambo yote yalipangwa yakapangika yenyewe!Napenda kukalibisha uchangiaji wa maada,ili watu wapate kujua,kutokana na ukubwa wa elimu za Dini tofauti
Sipendi michango ya matusi au kukashifu Dini ya mwingine,kwani naamini hakuna Dini au dhehebu linalofundisha waumini wake matusi
Chanzo cha ugomvi kati ya Shetani na Mwanadamu?Napenda kukalibisha uchangiaji wa maada,ili watu wapate kujua,kutokana na ukubwa wa elimu za Dini tofauti
Sipendi michango ya matusi au kukashifu Dini ya mwingine,kwani naamini hakuna Dini au dhehebu linalofundisha waumini wake matusi
Hii ndiyo nasikia leo,sijawahi kusikia toka nizaliwe,mbona hakuna kitu katika vitabu vya mungu kinachofichwaga,sasa kwa nini walitumia lugha tataMungu alipomuumba Adam na Hawa aliwaambia wazae waongezeke waijaze dunia. Lakini aliwaambia mti wa katikati wasiule matunda yake (wasifanye mapenzi kinyume na maumbile)
Shetani akamfundisha Hawa ushetani. Hawa akamfundisha Adam.
Baada ya uchafu huo, Mungu akawapiga laana nyoka na Hawa na kuwafukuza Eden.
Baada ya hapo Mungu akaweka uadui mkali kati ya shetani a.k.a joka na uzao wake against Hawa na uzao wake
Endelea kufafanua naona kama umeishia njiani?Mbegu ni neno, idha neno la Mungu au la shetani. Mbegu huzaa matunda. Mungu alimkataza Adam asile matunda ya mti wa katikati, yaani Adam asipokee mafundisho ya mashetani.
Inawezekana Biblia ikawa ilieleza kila kitu?au ingeeliza kila kitu kitabu kingekuwa kikubwa tungeshindwa kubebaBIBLIA IMESEMA YOOTE SOMA BIBLIA.
Inawezekana Biblia ikawa ilieleza kila kitu?au ingeeliza kila kitu kitabu kingekuwa kikubwa tungeshindwa kubeba
UZURI WA BIBLIA HAIFICHI KITU.
MWANZO 3.13-16.
Bwana Mungu akamwambia mwanamke, Nini hili ulilolifanya? Mwanamke akasema, Nyoka alinidanganya, nikala.
Mwanzo 3:13
14 Bwana Mungu akamwambia nyoka, Kwa sababu umeyafanya hayo, umelaaniwa wewe kuliko wanyama wote, na kuliko hayawani wote walioko mwituni; kwa tumbo utakwenda, na mavumbi utakula siku zote za maisha yako;
Mwanzo 3:14
15 nami nitaweka uadui kati yako na huyo mwanamke, na kati ya uzao wako na uzao wake; huo utakuponda kichwa, na wewe utamponda kisigino.
Mwanzo 3:15
16 Akamwambia mwanamke, Hakika nitakuzidishia uchungu wako, na kuzaa kwako; kwa utungu utazaa watoto; na tamaa yako itakuwa kwa mumeo, naye atakutawala.
Mwanzo 3:16
AGANO JIPYA KITABU CHA UFUNUO.
9 Yule joka akatupwa, yule mkubwa, nyoka wa zamani, aitwaye Ibilisi na Shetani, audanganyaye ulimwengu wote; akatupwa hata nchi, na malaika zake wakatupwa pamoja naye.
Ufunuo wa Yohana 12:9
17 Joka akamkasirikia yule mwanamke, akaenda zake afanye vita juu ya wazao wake waliosalia, wazishikao amri za Mungu, na kuwa na ushuhuda wa Yesu;
Ufunuo wa Yohana 12:17