mkuu kiswahili kigumu na nisomo gumu kwa upande wangu analiogopa kuliko masomo mengine yote.
Choo Nomino (noun) - Kinyesi (hii ndiyo tafsiri yangu)
|
Shimo la choo - shimo la kinyesi (haja kubwa) - {(kumbuka hakuna shimo la choo (kinyesi) kwa maana ya haja ndogo
(mkojo) ni kwa haja kubwa tu}. Sio lazima sehem ya haja ndogo kuwa choo (sehemu ya kinyesi), lakini kwa haja
kubwa (choo) inawezekana kutumika kwa haja ndogo yaani (mkojo)
Nyumba inachoo ??? ( nyumba inasehemu ya kuhifadhia choo? hapa kuna kama tafsida kulainisha lugha na kutoa
muugurumo mzuri zaidi wenye utamu masikioni na kwa ufupi kuwakilisha ujumbe.
Naenda chooni - Naenda sehemu kilipo kinyesi (sehemu ya kuhifadhia Kinyesi) - Naena Dukani, naenda mkutanoni
Hivyo kwa mtazamo wangu neno Choo linamaanisha Kinyesi, na pia kulingana na matumizi linawakilisha sehemu ya
kujihifadhi - haja zetu (haja kubwa) Haijalishi ni cha kike au kiume kote ni sehemu ya kuhifadhia kinyesi
Wataalamu wa kiswahili watatusaidia zaidi.