Kipi Chuo Kikuu Bora Tanzania??

Ubora wa chuo unapimwa na nini?.wasomi wa sasa ivi na watu wa ajabu sana haijalishi wanatoka wapi kama 2kishinda ku2mia elimu yetu kuleta maendeleo. 2kishinda kuishi kama wasomi kimatendo na kimaadili ni afadhali vyuo vyote vifungwe 2tafute ishu nyingine ya kufanya
 
kila chuo kikuu ni bora ndo maana kinaitwa chuo kikuu
 
Kwatakwimu za sasa chuo cha kwanza kwa ubora tanzania ni muhimbili university of health and allied science ambacho ni cha tatu kwa afrika mashariki. Unaweza uka google ukapata list ya vyuo vyote tanzania na africa mashariki na duniani kote kuanzia cha kwanza hadi cha mwisho.
 

Chuo kikuu bora ni kichwa chako we sifuri ww....shabikia tuuu afu utajuw ka yupi mjanja....mwenye hela alosoma chuo kngne kando ya hicho au chalala alosoma muhimbili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…