hiyo ni kwa upande wa kujenga mahusiano ya maana kama alivyotaka kujua mleta thread
je ikiwa uhusiano usio na maana(casual dating,kudate mme/mke wa mtu n.k) unaangalia nini?
nishakuPM.
usinikubali haraka.
mbona nilishakukataa.
nataka kujua ni sifa zipi wanawake wanaangalia kwa mwanaume
Wenyewe wanajua,,,,,,,ila wengine huangalia pasonalite ya mtu
personality Vs. Outlook
ipi zaidi?
"Attraction of love has no choice"what women want is not what they want ,but they want you (men) to give them what they want without telling you what they want!