Kipi huchangia maskini kudumu zaidi ndoani kuliko wenye kipato cha kati au matajiri?

Kipi huchangia maskini kudumu zaidi ndoani kuliko wenye kipato cha kati au matajiri?

yuzazifu

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2018
Posts
5,108
Reaction score
9,436
Natumai hamjambo wakuu,

Ukiitazama taasisi ya ndoa utagundua maskini wakafanikiwa zaidi kudumu ndoani kuliko wenye kipato cha kati/matajiri.

Je, kwa mtizamo wako unadhani ni ipi sababu ya ndoa za maskini kudumu kuliko za wenye kipato cha kati/matajiri?
 
Matajiri huwaga wanampenzi wao wa kwanza (PESA).


Hapo hawalali, hawali, hawanywi, n.k bila kumuona huyo mpenzi wao ( PESA) anaendeleaje.
Right na inawezekana ikawa miongoni mwa sababu
 
Back
Top Bottom