Pole mwamba ila yamekujenga muda si mrefu utaanza kuona matunda ya majanga.Mwaka ambao nimepata majanga mengi zaid kuliko miaka mingine aseee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ziko nyingi kamuuaa mkuu mpaka dushe lipate motoNilizichakata sana papuchi mwaka huu kuliko maelezo yaani mpka kufikia ukingoni bado nazichakata tu,
Muda si mrefu pia naenda kuichakata papuchi moja
Sent using Jamii Forums mobile app
Good luck Mkuu.Ni mwaka ambao nimeshindwa kutimiza lengo lolote kwa ukamilifu yaan kila nlichopanga Jan1 2019 ni kama vingi vimekwama..Mungu tu anisamehe tena kwa kutotii sheria zake tofauti na miaka mingine na anitie nguvu 2020!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana sio yule 😍
Mwaka ambao nimepata majanga mengi zaid kuliko miaka mingine aseee.
Nadhani nakuzidi ,kati ya Watanzania 3 waliopata majanga na huzuni kuu moyoni kwa mwaka 2019 siwezi kukosa
Umeifuta reply😀😀