Pole sana mkuu,hope everything will be alright.2019 imekuwa rough sana kwangu binafsi na familia yangu kwa ujumla, pengine ni mwaka niliotoa machozi mengi kuliko mwaka mwingine wowote. Tumekutana na mambo makubwa ambaya hatujawahi kuyashuhudia. Lakini naamini Mungu ni mwema yatakwisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana Mkuu.Mwaka ambao umekua na majanga kwangu sana nimeibiwa kila kitu cha ndani
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana2019 imekuwa rough sana kwangu binafsi na familia yangu kwa ujumla, pengine ni mwaka niliotoa machozi mengi kuliko mwaka mwingine wowote. Tumekutana na mambo makubwa ambaya hatujawahi kuyashuhudia. Lakini naamini Mungu ni mwema yatakwisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio shida ya kukaa na vitu moyoni bila kufunguka, usiseme tu anajua je ulimwambia kuwa unampenda? Piga moyo konde mweleze masahibu yako....huwezi juaNi mwaka ambao nilimpenda my friend sana na anajua hivyo..sasa juzi kanipa mshangao akanitamburishe kipenzi chake...aisee tumbo lilinikata ghafla nikagoma kwenda...nikampa block kote lengo nimsahau kabisa..kuna watu wakatili duniani...Namshukru kwa kipindi chote alichonipa furaha otherwise namtakia kila la kheri..hili nalo litapita
Sent using Jamii Forums mobile app
Trust me anajua sana na amenifanyia makusudi.Mungu anamuona huko may be hanipendi..M not chasing again .wacha nipishe njia tu..Ndio shida ya kukaa na vitu moyoni bila kufunguka, usiseme tu anajua je ulimwambia kuwa unampenda? Piga moyo konde mweleze masahibu yako....huwezi jua
Sent using Jamii Forums mobile app
We wa kiume au wa kikeTrust me anajua sana na amenifanyia makusudi.Mungu anamuona huko may be hanipendi..M not chasing again .wacha nipishe njia tu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kosa lake ni ninii!????Ni mwaka ambao nilimpenda my friend sana na anajua hivyo..sasa juzi kanipa mshangao akanitamburishe kipenzi chake...aisee tumbo lilinikata ghafla nikagoma kwenda...nikampa block kote lengo nimsahau kabisa..kuna watu wakatili duniani...Namshukru kwa kipindi chote alichonipa furaha otherwise namtakia kila la kheri..hili nalo litapita
Sent using Jamii Forums mobile app